Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinitaka kuwapa baadhi ya siri za freemason ili washawishike na kujiunga lakini mtaniwia radhi kwasababu nikiwa kama mwanachama mtiifu kabisa ninaheshimu masharti na siri za chama na siwezi kuziweka wazi sehemu yoyote ile hadi mwisho wa maisha yangu.
Ningependa kuwashauri marafiki zangu kuridhika na haya machache ninayowamegea na kama kuna mengine basi mnaweza kujiunga na kuwa wanachama na hapo mtapata furusa za kujua siri nyingi za freemason zitakazo waweka huru na kubadilisha maisha yenu na familia zenu.
Tukiachana na hayo leo ningependa kukugusia kidogo kuhusu PETE zenye maajabu makubwa chini ya jua. Kwanza nikuhabarishe tu kuwa pete za Freemason zipo aina kumi na tatu (13) na pete zote hizo zina tofautiana uwezo wa kufanya maajabu. Unapoojiunga tu na freemason baada ya maelekezo kidogo unaapishwa na kupewa pete No, 01 ambayo inafamika kwajina ambalo siruhusiwi kulitaja hapa, pete hii inavaliwa baada ya kula kiapo maalumu cha kulinda na kuhifadhi siri zote za Freemason hadi mwisho wa uhai wako.
Kwa kawaida unapovalishwa pete hii na kula kiapo unatunukiwa cheo cha degree ya kwanza katika maisha yako ndani ya chama na degree hiyo inaendana na zawadi ya kiasi kisichopungua shilingi million mia moja ( Tsh.100,000,000) fedha hizo unapewa kwaajili ya kuanza biashara au kuendeleza biashara zako na unaweza kupewa zaidi kulingana na uongozi utakavyoona. Yapo masharti mbali mabali utakayopewa ambayo siwezi kuyaandika hapa lakini niseme tu yanatekelezeka kama una nia ya dhati.
Nadhani kwa leo niishie hapa kwenye hii pete ya kwanza siku nyingne nitakuja kuwaelezea ni jinsi gani pete ya pili inavyopatikana na kiasi cha pesa anachopewa mwanachama aliyetimiza masharti ya kuweza kuimiliki pete ya pili.
Nipende kuwashukuru wadau wote pamoja na viongozi mbali mbali wanaonipa ushirikiano katika kufanikisha kazi hii ya kutoa elimu na kuwahabarisha wasaka mafanikio na watu waliotayari kujitoa ili kufanikiwa na kunyanyua familia na jamii zao kwa ujumla.